Erhältlich:
Nicht auf Lager
Buch (Softcover): Belletristik
Jino Kwa Jino
Produkt bewerten
Verlag:
M. Jayne LaDow Unsere-Artikel-Nr.: P36473702
EAN: 9789912416963
Erhältlich:
Nicht auf Lager
Zustellung: Mo, 31.08.2026
Versand: Kostenlos
CHF 30.25
Beschreibung
Baada ya kupigwa kisa kumtukana mzazi wa mwenzake, binti kutoka familia ya kitajiri aliamua kutunga uongo kuharibu maisha ya mwenzake. Hakuishia hapo tu, alipelekea asimamishwe shule, huku wakishirikiana na binamu yake kwenda kumfanyia fujo yeye na mzazi wake. Mwisho wake wanapigwa na kudanganya kwao, mpaka binti yule alitekwa kwa kushirikisha nguvu za wazazi wao. Habari inakuja ni baada ya binti kupatikana, baba yake ambaye alikuwa mmoja wa majasusi wazalendo wa muda mrefu aliyeamua kukaa kimya. Aliamua kulipa kisasi. Ndiyo hapo wazazi wale na watu wengine walipojua mtu huyo hakuna anayeweza kumdhibiti, hata kiongozi wa nchi mwenyewe hana uwezo huo. EASA wenyewe walikaa kando na kumtuma Norbert Kaila akaonane naye mara moja tu azungumze naye kiamani asifikie pabaya. Ila napo jasusi yule alipokutana naye, alimtambua kama ni mwalimu wake aliyemfanya kuwa jasusi bora. Mwenyewe alikiri hakuna mwanausalama yeyote mwenye uwezo wa kumzuia. Aliishia kukaa kando, akitazama mwisho wake utakuwa vipi.
Spezifikationen
Sprache
Autor
- Mambosasa
Erscheinungsjahr
- 2024
Format
- Buch (Softcover)
Anzahl Seiten
- 158